Mkuu wa mkoa wa Tanga Mhe,Martine Shegella akipokea vifaa vyenye thamani ya shillingi milioni 20.4 toka Kwa kampuni ya Tanga Cement PLC kusaidia mapambano dhidi ya Covid-19 nchini.vifaa hivyo vitakavyotumiwa na wauguzi pamoja na jeshi la Polisi wakati wa utekelezaji wa majukumu yao.